Katika kijiji cha Luhohwe kilichopo jimbo la Bungoma magharibi mwa Kenya anapatikana mwanaume anayejulikana kama 'Yesu' wa Tongareni. Maisha yake yalikuwa ni ya kawaida hadi ilipofika mwaka 2009 ...
Katika mataifa yenye Wakristo wengi, kwa sasa kila kitu ni Krismasi. Ni nadra kufikiria kwamba kuna maeneo ambapo sikukuu hii haitambuliwi kama kidogo. Ni siku tu ya kawaida. Miongoni mwa mataifa ...
NAIROBI – Eliud Wekesa, maarufu kama "Yesu wa Tongaren” raia wa Magharibi ya Kenya, amefikishwa mahakamani Alhamisi mjini Bungoma nchini Kenya, baada ya hapo jana kujiwasilisha kwa maofisa wa polisi ...